Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Paul Nonga.
Nonga alisajiliwa na Yanga kupitia dirisha dogo la ligi kuu msimu uliopita akitokea Mwadui FC lakini aliomba kuachwa kutokana na kukosa namba.
Wakati huo huo Stand pia imepanga kuinasa saini ya mshambuliaji wa Coastal Union Chidiebre Abasirim ambaye timu yake imeshashuka daraja.
Wachezaji wote wawili wapo mkoani Shinyanga na wanasubiri kusaini mkataba baada ya makubaliano baina ya pande zote mbili kwenda vizuri.



