Taarifa kutoka nchini Spain zinasema mshambuliaji huyo amefariki akiwa sambamba na kakaake Andre Silva
Nyota huyo chini ya Arne Slot ameisaidia Liverpool kubeba EPL msimu wa 2024-2025 akicheza michezo 26 huku akihusika katika mabao 9.
Nyota wa Liverpool Mreno Diogo Jose da Silver ‘Diogo Jota’ amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 28 katika ajali ya gari aliyoipata akiwa Zamora nchini Spain