Antony amesimamishwa na klabu yake ya Manchester United ili kupisha uchunguzi unaofanywa na askari wa Brazil nyumbani kwao, pamoja na England anapoishi hivi sasa
Jumatatu , 18th Sep , 2023
Mwanamke mmoja kati ya watatu waliomshataki Antony kwa unyanyasaji na kushambuliwa, ameondoa rasmi mashtaka yake. Inaaminika aliyejitoa ni Ingrid Lana aliyedai kufanyiwa Unyanyasaji Oktoba 2022.