United huu unakuwa mchezo wao wa 12 mfululizo wakipangwa kucheza kuanzia nyumbani huku mchezo dhidi ya Newcastle United ni kumbukumbu ya fainali ya msimu uliopita ambapo United ilishinda kwa magoli 2-0 kwenye dimba la Wembley. Michezo mingine kwenye mzunguko wa 4,
Mansfield watacheza na Port Vale,Ipswich dhidi ya Fulham,Bournemouth watacheza na Liverpool ilhali Chelsea watapambana na Blackburn,West Ham dhidi Arsenal,Everton watacheza na Burnley huku Exeter watacheza na Middlesbrough.