Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Klopp amenifanya nizidi kuwa kocha bora- Guardiola

Alhamisi , 13th Mei , 2021

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema kocha wa Liverpool Jorgen Klopp amemfanya azidi kuwa kocha bora kutokana na changamoto anayompa nakumfanya kila siku awe anafikilia mbinu mpya za kushinda michezo, Pep amesema hayo baada ya kutumiwa ujumbe wa pongezi na kocha huyo.

Kocha wa Liverpool Jurgeni Klopp kulia akiwa na kocha wa Manchester City Pep Guardiola

Baada ya The Citzens kutwaa ubingwa wa EPL Kocha wa Liverpool Jorgen Klopp ambaye pia alikuwa mshindani wa Pep Guardiola nchini Ujerumani wakati Klopp akiwa na kikosi cha Dortmund na Pep akiwa na kikosi cha Bayern Munich, amemtumia ujembe wa Pongezi Goardiola kwa kumpongeza kwa mafanikio aliyoyapata msimu huu kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England.

Baada ya kupokea salaam hizo za pongezi Pep raia wa Hispania amesema,

"Ninathamini sana, yeye na meneja wa Everton Carlo Ancelotti wamefanya hivyo, kwa hivyo nathamini sana wote wawili. Bado sijapata nafasi ya kujibu ujumbe, lakini nitafanya leo. Jurgen, kwa kweli, ni msukumo mkubwa kwangu na amenifanya kuwa bora kupitia timu zake wakati yupo Borussia Dortmund na sasa Liverpool niwe meneja bora. Ananifanya nifikirie sana juu ya michezo ninayocheza na kila kitu."

Manchester City walitangazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu England msimu huu wa 2020-21 siku ya Jumanne baada ya Manchester United kufungwa mabao 2-1 na Leicester City, na kufanya tofauti ya alama  kati ya Man City na majirani zao hao kuwa alamao 10 huku ikiwa imesalia michezo mitatu tu kabla ya Ligi kumalizika, hivyo alama 80 walizonazo City haziwezi kufikiwa na timu yoyote.

Guardiola mwenye umri wa miaka 50 ameshinda jumla ya makombe nane(8) makubwa tangu ajiunge na Manchester City mwaka 2016 na bado ana nafasi ya kuongeza kombe jingine endapo kama atafanikiwa kuifanga Chelsea kwenye mchezo wa fainali ya klabu bingwa barani ulaya dhidi ya Chelsea mchezo utakao chezwa Mei 29, 2021. 

HABARI ZAIDI

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa