
Pamoja na hayo, uongozi wa Yanga umekitaja kikosi chake kizima kinachoenda kutafuta alama tatu za kukamilisha ushindi wao katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
1. Beno Kakolanya
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Kelvin Yondani
5. Vincent Bossou
6. Thaban Kamusoko
7. Juma Mahadhi.
8. Haruna Niyonzima
9. Amisi Tambwe
10. Obrey Chirwa
11. Geofrey Mwashuiya
Akiba
Deogratius Munishi, Juma Abdul,Nadir Haroub, Matheo Antony, Deusi Kaseke , Emmanuel Martin pamoja na Justine Zulu.