Jumamosi , 29th Apr , 2017

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC leo wanashuka dimbani kuvaana na Azam FC katika hatua ya Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara utakaofanyika kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dsm.

Kikosi cha Simba SC

Hata Hivyo uongozi wa timu ya Simba umeweka hadharani kikosi chake za maangamizi dhidi ya wanalambalamba wa vingunguti.

Kikosi hicho ni kama ifuatavyo:

Daniel Agyei

Janvier Bokungu

James Kotei

Mohamed Shabalala 

Jonas Mkude

Juuko Murshid

Shiza Kichuya

Mzamiru Yassin

Ibrahim Ajib

 Mohamed Ibrahim

Laudit Mavugo,

Akiba

-  Peter Manyika

- Vincent Costa

- Said Ndemla

- Mwinyi Kazimoto

-Juma Liuzio

- Frederic Blagnon

-Pastory Athanas
 

VIKOSI VYOTE VIWILI