Shizza Kichuya
Katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa CCM Kambarage , Shinyanga jana, Kichuya alifunga bao la pili dakika ya 44 na kumfanya afikishe bao lake la nane msimu huu. Simba ilishinda kwa mabao 3-0.
Winga wa Simba, Shiza Kichuya ameendelea kuwatesa makipa wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu Bara baada ya jana kuziona nyavu wakati Simba ikishinda 3-0 dhidi ya Mwadui FC, hivyo kuzidi kuwaacha wapinzani wao wakiwanyoshea kidole kileleni.