Magoli hayo pia yamemfanya Kane kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Uingereza kufunga goli 4 kwenye mechi moja ya UCL na ni Muingereza wa kwanza kufunga goli 4 kwenye timu nje ya England
Magoli hayo pia yamemfanya Kane awe mfungaji bora wa muda wote kwa wachezaji wa Uingereza kwenye michuano ya UEFA akiwa na magoli 33 akimpita wayne Rooney mwenye magoli 30
Je ataweza kuifikia rekodi ya mfungaji bora wa muda wote UCL Cristiano Ronaldo mwenye magoli 140?