Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Etienne Ndayiragije awatisha wababe wa Simba

Jumatatu , 15th Jul , 2019

Kocha Mkuu wa klabu ya Azam FC, Mrundi Etienne Ndayiragije amewazungumzia wababe wa Simba katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, TP Mazembe kuelekea mchezo wa robo fainali ya michuano ya Kagame inayoendelea nchini Rwanda.

Kocha Etienne Ndayiragije

Ndayiragije amesema kuwa awali hawakujipanga dhidi yao lakini baada ya ratiba kubadilika jana, ambapo hivi sasa watavaana na mabingwa hao mara tano wa Klabu Bingwa Afrika, akiwapa onyo kuwa Azam FC imejipanga kutetea ubingwa.

"Mabadiliko ya mchezo kwetu hayakutusumbua, tulikuwa tayari kuvaana na yeyote kwa sababu timu zote tumeziona kwahiyo tuko tayari kushindana nao. Nina wachezaji ambao wamechanganyika na vijana wadogo, kwa pamoja wataleta kitu katika michuano", amesema Ndayiragije.

TP Mazembe na Azam FC zitacheza mchezo wa robo fainali ya kombe la Kagame kesho, Julai 16, ukifuatiwa na mchezo wa KCCA na Rayon Sports, APR FC na AS Maniema, huku mchezo wa mwisho ukiwa kati ya Gor Mahia na Green Eagles.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe