Alhamisi , 28th Mei , 2015

Timu ya mpira wa kikapu ya jiji la Dar es salaam Dar City ya wanaume imefanikiwa kuifunga timu kutoka jiji la Mogadishu kutoka Sudan vikapu 112 – 46 katika mchezo wa awali uliochezwa hapo jana katika michuano ya Inter City Uwanja wa ndani wa Taifa.