Wanandoa wakipokea zawadi za kuni
Video hiyo imeibua hisia tofauti kutoka mitandaoni huku baadhi wakitoa maoni kuwa chaguo la zawadi hiyo ilikuwa ya kufurahisha.
Wengine hata hivyo, walichukulia kwa uzito tukio hilo wakisema kwamba kuwapa wanandoa kuni kwenye siku yao ya harusi ni ishara mbaya.