Jumatano , 20th Apr , 2022

Marehemu Isa Kijoti aliwahi kuimba kwamba 'Kanunua simu kampa demu walipoachana kampokonya', hiyo imetokea huko Nigeria baada ya jamaa mmoja kumvua wigi, viatu na kumpokonya simu mpenzi wake baada ya kumkuta na mwanaume mwingine.

Picha ya Jamaa akimvua wigi mpenzi wake

Unaambiwa vitu hivyo alimnunulia walipokuwa kwenye mahusiano na tukio hilo limetokea kwenye mgahawa na video yao kutupiwa mitandaoni ambayo ina-trend kwa sasa.