Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Weusi tumeacha ushamba : Joh Makini

Jumatano , 28th Jun , 2017

Rapa kutoka Weusi Kampuni, Joh Makini amefunguka kuwa kampuni yao kwa sasa haina ushamba tena kwenye muziki kwa kuamini kuwa video ndiyo inaweza kukuza muziki wao na kuwapeleka sehemu kubwa zaidi.

Wasanii kutoka Weusi, Kushoto ni G Nako, katikati ni Joh Makini na kulia ni Nikki wa Pili

Akizungumza na eNewz Joh Makini, amesema kuwa anacho amini kwenye muziki ni ladha ya muziki mzuri 'audio' ndiyo inaweza kuuza muziki huo japokuwa ni vizuri muziki ukiwa na video.

“Mimi naamini kitu cha kwanza kwenye muziki ni audio, Ndiyo maana unaona watu zamani tulikuwa tunapiga audio strong na ilikuwa inauza..., Watanzania wameshaacha ushamba wa picha ndio maana hata ukitoa video kali kama audio sio nzuri ngoma inakufa” Amesema Joh Makini.

Katika hatua nyingine Joh Makini amefunguka kuhusu suala la mashabiki kutumiana nyimbo kupitia mitandao na kwamba  watumie njia sahihi  ili kusapoti kazi za wasanii wanaowakubali.

“Watu waache kutumiana audio kwenye Whats App au makundi halafu kwenye interview unakuta mtu anaulizwa album lini, kama umeshindwa kununua ngoma moja mtandaoni utawezaje kununua album?”  Joh Makin alisema kwa mtindo wa kuhoji.

HABARI ZAIDI

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil