Jumatatu , 2nd Oct , 2023

Diva wa BongoFlava Lulu Diva amefichua kilichofanya kushindwa kufanyika kwa ndoa yake ambayo kila kitu kilikuwa kimekamilika yeye kuolewa.

Picha ya msanii Lulu Diva

Zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia sababu iliyokwamisha ndoa yake.