Jumatano , 15th Nov , 2023

Ni wiki ya kuvunja mbavu na wachekeshaji ndani ya Planet Bongo ya East Africa Radio, leo tupo na wachekeshaji Zuli Comedy ambao wamefunguka mambo mengi kuanzia mwanzo wa safari yao, walivyotrend na content zao zinavyopokelewa na mashabiki.

Picha ya wachekeshaji Zuli Comedy

Zaidi tazama hapo chini kwenye video kusikia na kuona vituko vyao wakichekesha Live studio.