Picha ya Christian Bella
Zaidi mtazame hapo chini kwenye video akijitamba kuhusu uwezo wake wa kuimba Live.
King Of The Best Melody Christian Bella ameiambia Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa msanii yeyote anayetaka kushindana naye kwenye stage moja kuimba live lazima ajipange kwa sababu haoni wakumshinda katika hilo.
Picha ya Christian Bella
Zaidi mtazame hapo chini kwenye video akijitamba kuhusu uwezo wake wa kuimba Live.