Picha ya msanii Q Chief
Q Chief amesema hayo akizungumzia kuhusu bifu lake na TID kwa kusema hajui kwanini anamundama au labda kutokana na kipaji chake cha kuimba mziki.
Ikumbukwe wawili hao walikuwa wanaunda kundi moja la Top Band miaka kadhaa iliyopita.