Jumatatu , 5th Feb , 2024

Muimbaji wa South Africa Tyla ameshinda tuzo ya kwanza ya Grammy 2024 kipengele cha ‘Best African Music Performance’ akiwashinda mastaa wakubwa wa muziki Africa kama #Davido #BurnaBoy #Asake na #AyraStarr.

Picha ya Tyla

Tyla ameshinda tuzo hiyo kupitia Hit yake ya ‘Water’ ambayo imempa rekodi ya kuwa msanii wa kwanza mwenye umri mdogo (22) kufikisha Views Milioni 100 Youtube ndani ya miezi mitatu.