Picha ya Msanii Tyga
Taarifa zinaeleza kuwa Killa Cam alikuwa amelewa, lakini Tyga alimruhusu aingie ndani kwa ajili ya kuzungumza na baada ya muda zilisikika kelele za mpenzi wake huyo ambaye ameiambia polisi kuwa T-Raww alikuwa akimshushia kipigo wakati wa majibizano yao ambapo leo atafika kituoni kutoa maelezo kwa upande wake ikiwa tayari amefunguliwa kesi ya unyanyasaji wa nyumbani.