Jumapili , 4th Mei , 2025

Ameulizwa Malkia wa muziki wa Afrobeats Nigeria Tiwa Savage “Kuna nafasi moja kwenye boti utamuokoa nani kati ya Wizkid,Burna Boy,Davido na Rema?

Picha ya Burna Boy, Wizkid na Davido

Tiwa Savage anasema “Ningemchagua Rema kwa sababu ninahisi hawa watu wakubwa watatu wameishi sana, ningempa nafasi kijana”.

Wewe ungechagua kumuokoa nani kwenye boti kati ya Ali Kamwe, Ahmed Ally,Diamond Planumz na Alikiba?