Ijumaa , 18th Jun , 2021

Mh. Temba ametoa maoni yake mara baada ya Meya wa Manispaa ya Temeke Abdallah Mtinika kumtangaza mchekeshaji wa Kenya Erick Omondi kuwa balozi wa kuitangaza Wilaya ya Temeke

Picha ya msanii Mh. Temba

Kuwa dhumuni la kuanzisha kundi lao la muziki ‘TMK Wanaume Family ilkuwa ni kuitetea Wilaya yao kimaendeleo kwa wananchi na pia kupambania muziki wa Tanzania.

Temba ni miongoni mwa waasisi wa Kundi la TMK Wanaume Family ambalo linarekodi nzuri juu ya mapinduzi ya muziki wa Tanzania, amezungumza nasi leo na kusema kuwa Meya alifanya uamzi wa haraka mno, na ametumia vigezo gani kumpata balozi?

Msikilize hapa zaidi