Jumanne , 22nd Oct , 2024

Ni Headlines za Taita The Real Jongwe 'Mr II Sugu' akiwakumbusha mashabiki na wadau wa muziki kuwa yeye ndio Rapa wa kwanza Bongo kuwa Milionea.

Picha ya Mr II Sugu

"Rapa wa kwanza Bongo kuwa Milionea tangu 1998 amini hivyo. Mwaka 1992 nilianza Career yangu ya muziki, 1998 nikawa Milionea na nikageuka kuwa Bilionea 2018". anasema Sugu

Kupitia tamasha lake la #BongoFlavaHonors Ijumaa hii Oktoba 25, litamheshimisha Komando @jidejaydee kufanya bonge moja la show Ware House Masaki.