"Sio suala dogo" - Billnass

Ijumaa , 11th Jun , 2021

Baada ya kufanikiwa kupata wasikilizaji wa jumla wa nyimbo zake zaidi ya milioni 2 kupitia mtandao wa kupakua na kusikilizia muziki Boomplay, nyota wa Bongo Hip Hop Billnass amedokeza ujio wa Album na EP.

Picha Msanii Billnass

Nenga Mafioso amekiri kuwa haikuwa kazi rahisi kufikia idadi hiyo ya wasikilizaji licha ya muziki wake kupendwa.

“Sio suala dogo, Over 2 million bila EP wala album wala mixtape, I think ni muda sasa wa album na EP, Ahsanteni kwa upendo watu wa Mungu” – ameandika Billnass