Jumatano , 5th Jan , 2022

Hitmaker wa ngoma ya bia tamu Marioo 'Toto Badi' anasema bado hajapata mchumba wa kumtambulisha mbele za watu na sifa za mwanamke anayemtaka ni awe mzuri, heshima, akili pia amzidi baadhi ya vitu ili amuelekeze.

Picha ya msanii Marioo akifanyiwa mahojiano na East Africa TV

Zaidi mtazame hapa Marioo akizungumzia ishu za mahusiano yake na mwanamke anayemtaka.