Jumapili , 3rd Jul , 2022

Kupitia Friday Night Live ya @eastafricatv na #EastAfricaRadio staa wa filamu nchini shamsaford amesema kuna kipindi alipitia changamoto za maisha mpaka kuuza gari yake na kukaa miaka mitatu bila kutumia gari.

Picha ya msanii Shamsa Ford

"Ni kweli maisha yalinipiga ni changamoto ambayo kila mtu anapitia, nilikuwa na gari yangu niliiuza kutokana na changamoto za hapa na pale, nilikaa miaka mitatu/miwili bila gari"

Show ya Friday Night Live ni kila siku ya Ijumaa saa 3:00 mpaka 5:00 usiku.