Jumanne , 1st Nov , 2022

Kwa mujibu wa baadhi ya vyombo vya habari mbalimbali nchini Marekani vimeripoti taarifa ya Rapa wa kundi la Migos TakeOff ameshambuliwa kwa kupigwa risasi na kufariki dunia.

Picha ya msanii TakeOff

Tukio hilo la kupigwa risasi linadaiwa kufanyika saa 8:30 usiku Houston Texas ambapo TakeOff na msanii mweziye wa kundi hilo Quavo walikuwa washiriki kucheza mchezo wa kete.