Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Radio na Weasel wasaka Meneja

Jumamosi , 31st Jan , 2015

Mastaa wa muziki kutoka nchini Uganda, Radio pamoja na Weasel wameelezwa kuwa katika mpango wa kusaka meneja mpya ambaye ataenda nao sawa na kuhakikisha anawaweka sawa katika kuimarisha soko la muziki wao nje ya mipaka ya nchi hiyo.

Weasel na Radio

Hatua hii imeelezwa kuwa ni kutokana na kitendo cha meneja wao wa sasa anayefahamika kwa jina Chagga kuteleza na kuingia katika ugomvi na mashabiki wa wasanii hawa, kitendo ambacho wanahofia kuwachafulia jina na kuyumbisha biashara yao ya muziki.

Wasanii hawa pia wameweka mkakati huu kwa lengo la kwenda sawa na kasi ya ushindani ya muziki ambao sasa umekuwa na unahitaji kusambaa kwa kasi nje ya mipaka ya nchi yao.

HABARI ZAIDI

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari

Picha ya Diddy na Cassie enzi za mahusiano yake

Diddy aomba msamaha kumshambulia EX wake Cassie

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu