Ijumaa , 7th Jan , 2022

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi na msanii Prof Jay ameshea video fupi ya mistari ya ngoma yake ya 'nang'atuka' kwenye mtandao wa Instagram ikiwa maalum kwenda kwa Job Ndugai baada ya kujiuzulu nafasi ya uspika wa Bunge.

Prof Jay ameandika kwamba "TBT ya kibabe 'Nang'atuka', special dedication kwa Bwana Ndugai".

Zaidi fuatilia hapa kwenye video.