Jumapili , 11th Dec , 2022

Hitmaker wa ngoma ya upo nyonyo Phina Tz 'The Melanin Queen' amewajibu mashabiki wanaomshambulia mitandaoni wakidai msanii huyo anavaa kigodoro akisema hajawahi kufanya hivyo bali ni shepu yake original.

Picha ya msanii Phina

Zaidi mtazame hapa kwenye video Phina akizungumzia kuhusu kuvaa kigodoro.