Ijumaa , 18th Jun , 2021

Rapper marehemu na  mjasiriamali Nipsey Hussle ni miongoni mwa majina 38 ambayo yametajwa kutunukiwa nyota kwenye Hollywood Walk of Fame mwaka 2022 huku wengine ni DJ Khaled, George Clinton, Ashanti, Black Eyed Peas na wengine.

Picha ya msanii Nipsey Hussle

Ikumbukwe kuwa Nipsey Hussle alipigwa risasi na kuuawa  2019, pia alikuwa mwanaharakati wa masuala ya ki jamii.