Nikki Mbishi
Nikki Mbishi amesema kuwa endapo mtu atamuhitaji kwa shughuli kama hiyo na malipo yake yakamridhisha, atakuwa tayari kupiga naye kazi.
Nikki amesema kuwa, katika maamuzi yake kuna pande mbili ambazo zote zinawezekana kufanyika, moja ikiwa ni kuachana kabisa na muziki na kufanya mambo mengine na kwa upande mwingine pia inawezekana akawa anajihusisha na muziki kwa pembeni.