Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Nikki astukia makampuni yanayoua muziki wa Afrika

Jumanne , 10th Jan , 2017

Rapa Niki wa Pili ameonesha wasiwasi mkubwa juu ya makampuni makubwa ya muziki ambayo yamekuja kuwekeza Afrika ikiwa pamoja na Afrika Mashariki na kusema lengo kubwa la makampuni hayo ni unyonyaji na kushusha muziki wa Afrika na si kitu kingine

Rapa Nikki wa Pili

Nikki wa Pili alisema haya kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instgram na kusema wasanii wengi ambao wamesainiwa chini la kampuni hizo wengi wao wameshuka kimuziki ukilinganisha na kipindi ambacho walisimama wao kama wao.

"Afrika Kusini na Nigeria muziki wao wameukuza na kuutangaza wenyewe...toka enzi za P Square mpaka Wizkid, au toka Marium Makeba mpaka Mafikizolo. ujio wa wageni ndiyo unakuja kuushusha. Mtazame Davido toka amesainiwa na Sony na kabla ya hapo...au Keko wa Uganda, au Rose Mhando..hawa walisainiwa Sony...na pili makampuni hayo lengo ni kufungua milango ya huku kwa muziki wa nje...ndiyo maana Mtv Awards main artist alikuwa Future" alisema Nikki wa Pili 

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya