Jumatatu , 7th Nov , 2022

Msanii Billnass ameshea 'Experience' yake kuhusu suala zima la ndoa kwa kusema ndoa sio mbaya na haina shida yoyote kwa mastaa bali ubaya wanao wanandoa wenyewe. 

Billnass na Nandy

Billnass na mkewe Nandy walifunga ndoa miezi mitatu iliyopita na ndoa inasemekana imeweka historia ya kutumia bajeti kubwa kuliko ndoa za mastaa wengine Bongo. 

Zaidi tazama hapa chini Billnass akizungumzia suala hilo la ndoa.