Ijumaa , 30th Jul , 2021

Msanii Linex Sunday Mjeda 'The VOA' amefunguka ukweli kuhusu muziki wa Tanzania kwa kusema umeshuka pia ameomba kwa Mungu awape uamsho wasanii wote wa muziki mzuri Bongo.

Msanii Linex

Linex amesema ukisema ukweli kuhusu muziki utaonekana unachuki ila binafsi yake haoni kitu kwenye muziki.

"Mziki wetu wa Tanzania ukiuzungumzia kwa sasa  100% utaonekana 'hater but for real i feel nothing, i dont feel music daah' Mungu awape uamsho waimbaji wote wazuri Tanzania is going down".