Jumatano , 26th Oct , 2022

Mwanamitandao na msanii wa BongoFleva kwa sasa Tuerny amesema ukaribu wake na msanii Ruger ni walikutana kwa ajili ya kufanya kazi na sio kufumwa chumbani.

Picha ya mrembo Tuerny na msanii Ruger

Tuerny amesema safari yake ya mziki haijaanza jana wala juzi ni muda mrefu ila sasa hivi ndio muda sahihi wa kuanza kuimba.

Interview nzima na Tuerny itazame hapa kwenye video.