Shoo ya mwaka huu itakuwa balaa na ya aina yake Milango itafunguliwa saa 4 asubuhi na itaisha saa 12 jioni, mambo yote tunamaliza mapema tu.
Kwenye jukwaa itadondoshwa shoo kali kutoka kwa 1st Eleven aka Jambo Squad, Ommy Dimpoz, Ney wa Mitego, Kala Jeremiah, Mwana FA, Young Killer, Warriors from the East, Prof. J, Khadija Khopa, Ben Pol na Weusi.
Njo tuzungushe Kikwetu Kwetu kwa kiingilio cha shilingi 2,500s tu, na utazawadiwa mlangoni kinywaji chako buree, pia kutakuwa na chakula na burudani ya kutosha. Kilimanjaro Premium Lager, bonge ya kiburudisho kwa watanzania.