Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mapenz* yameninyoosha - Giggy Money

Jumatano , 23rd Aug , 2017

Msanii na Video vixen maarufu Bongo, Gift Stanford 'Giggy Money' amefunguka na kudai kuwa mara nyingi kinachomfanya ajitoe ufahamu na kufanya vitu vya ajabu hadharani ni kutokana na kile anachokiita 'stress' za mapenzi.

Kushoto ni Mwanasheria Msando, Kulia ni Msanii Giggy Money

Akizungumza hivi karibuni Giggy amesema kuwa matukio hapa katikati yaliyotokea na mengi ya kudhalilisha ikiwepo kujirekodi video akiwa na Mwanasheria Albert Msando ni kutokana na mapenzi yalivyokuwa yakimchanganya hasa matukio ya kumfumania mpenzi wake wakati mbele za watu mpenzi wake huyo anaonekana ni mpole.

"Unajua wakati nafanya drama zangu watu walikuwa hawanielewi sana. Watu wananiona mimi nafuraha kila wakati lakini mimi moyoni mwangu najua nini ambacho kinaniumiza. Wakati narekodi video na Msando tayari nimeshavurugwa vya kutosha. Hata jinsi ambavyo nimepungua japo ni ukuaji lakini pia mawazo ya mapenzi yalikuwa yananisumbua sana" alisema.

"Unajua niliwahi kumfumania mpenzi wangu akiwa na rafiki yangu kitandani lakini nikamwambia hebu vaa nguo twende. Siyo kitu rahisi kwa mwanamke kufanya kitu kama hicho. Ni bora kuwa na mwanaume ambaye unajua ni kicheche au mlevi kuliko mwanaume mpole ambaye kainamisha kichwa kumbe huko nyuma anamambo makubwa kabeba

Akizungumzia kuhusu warembo ambao wanapiga picha za utupu na kuziweka mitandaoni kwa kumuiga yeye Giggy amesema kutengeneza jina siyo lazima mpaka picha za utupu kwani wakati mwingine zina madhara.

"Watu wanahisi kuwa mimi nimetoboa kirahisi, ukweli mimi nimepata tabu sana na pia imenifanya nishindwe kupata hata madili makubwa makubwa kutokana na muonekano lakini sasa ma video vixen wengi ni wachafu na hawajui hilo. Wasiige vitu ambavyo hawaviezi kwa sababu tu Giggy anafanya" aliongeza.

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita