Jumanne , 26th Apr , 2022

Mwanahawa Zuberi ni mama wa watoto watatu kutoka Majohe Dar es Salaam, amefunguka kuokota mtoto wa kiume msikitini Majohe ambaye anaishi naye kwa wiki ya pili sasa.

Picha ya Mwanahawa Zuberi akiwa na mtoto aliyemuokota

Akieleza tukio hilo la kumuokota mtoto huyo kupitia EATV & EA Radio Digital anasema yupo tayari kumlea mtoto huyo endapo wazazi wake hawatajitokeza.

Zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia hilo.