
Kamera ya eNewz ya EATV imesaka Big ambapo amekanusha na kusema kuwa Saraha ni zaidi ya familia kwake na wanasapotiana zaidi kwa upande wa muziki lakini hawana mahusiano yeyote ya kimapenzi na kwamba anaheshimu sana familia yake hivyo hawezi kuwa na mahusiano na Saraha
Hata hivyo Big amesema watu wanajiongeza kuwa yeye na Saraha wanamahusiano kwa kuwa ni mwanamke na yeye ni mwanaume lakini wanasapotiana tu kimuziki na si vinginevyo.