![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2025/02/17/boy.jpg?itok=qAuN1Oz0×tamp=1739802463)
Madee Akifanya interview na waandishi
Msanii wa muziki wa Hiphop Madee amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuzungumzia umuhimu wa wasanii kuwa chini ya label na kutokuwa katika label mbali na hilo pia Madee ameeleza kuwa msanii Rayvanny yupo vizuri na hajashuka kimuziki
Madee Akifanya interview na waandishi