
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza
Akizungumzia hilo kupitia EATV & EA Radio Digital Godfrey Mngereza amefunguka kuwa "Wapo wasanii wengi wakike ambao wanafanya vizuri kazi zao na kufuata maadili bila kumtaja mmoja mmoja na hao ndio hupelekea kuchaguliwa katika shughuli za kitaifa na wasiofuata maadili pia wanajielewa nawaomba wajirekebishe"
Aidha ameendelea kusema "Kanuni zinazotolewa na BASATA ni kanuni za Bunge za mwaka 2018 sheria no:23 za mwaka 1979 ambazo zinatoa maelekezo ya kuzingatia kuhusu msanii anatakiwa kufanya kabla ajatoa nyimbo katika jamii na kazi ya uhakiki inafanywa msanii mwenyewe kabla haijafika nje"