LINEX MJEDA
Bongo fleva super staa Linex amewachana wasanii wanaotamba kwamba wanataka soko la kimataifa kama Nigeria na South Afrika wakati hawana show kenya, Uganda na Rwanda na wala hawatambuliki vizuri katika nchi hizo.
Linax ameiambia Enews kuwa kwa sasa yeye anatafuta sana soka Afrika Mashariki ili ajue anakubalika na muziki wake kupata soko alafu bada ya hapo ndipo atakopoanza kutafuta soka nnchi nyinginezo.
Hata hivyo Linex amesema msanii mzuri ni yule anayetambulika vizuri kuanzia nnchi za jirani na nchi yake vizuri na sio kulazimisha ufahamike kimataifa lakini hana soko lolote katika nnchi za afrika mashariki.

