
picha ya Wema Sepetu na Whozu
Whozu amesema hilo alipokutana na Camera za waandishi wa habari kwenye 'Album Listening' ya msanii Marioo iliyofanyika Masaki jijini Dar es Salaam.
"Ujauzito wa kwanza uliharibika kwa bahati mbaya halafu wanafikiri ni uongo, pale lazima niweke awe mdogo wake Lora, naomba Mungu awe wa kiume na mama yake ni Wema Sepetu labda nife" - Whozu