Picha ya msanii Wema Sepetu
Wema Sepetu ameshea hilo kupitia Instagram yake baada ya kuandika ujumbe ufuatao,
"Kupigwa na baby wako kuna raha yake, haswa pale kwenye kubembelezana, ila sasa sio tupigane kama wezi kidogo tu sio mbaya halafu iwe mara moja moja sio daily"
"Sio lazima wote tufanane kuna wasio penda kupigwa ila as for me, kushtuashtua one time one time is very healthy jamani" ameongeza
Zaidi tazama hapa kwenye video.