Jumatatu , 26th Sep , 2022

Mwanamitindo Ben Breaker amezua gumzo mitandaoni baada ya kusema amepewa zawadi ya sweta lenye thamani ya Tsh Milioni 10 na msanii Kanye West. 

Mwanamitindo Ben Breaker na sweta lake la Milioni 10

Ben Breaker amesema hilo kupitia show ya Friday Night Live ya East Africa TV na East Africa Radio kitendo ambacho kimemshangaza mchekeshaji Idris Sultan kueleza kuwa wanamitindo wanapoelekea wataua watu. 

Zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia sweta hilo.