Matope yaliyotapakaa kwenye makazi ya watu

5 Dec . 2023

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (kulia) akimpatia cheti Mhandisi anayedhibiti ubora na viwango kutoka GGML, Maftah Seif kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika ushiriki wa Kongamano la 32 la Taasisi ya Wahandisi Tanzania lililofanyika mwisho mwa wiki jijini Arusha. GGML ambayo ilikuwa moja ya wadhamini wa kongamano hilo, wahandisi wake 16 pia walishiriki.

4 Dec . 2023