Jumatatu , 12th Feb , 2024

Mwamba wa Kaskazini Joh Makini amefunguka anavyomkumbuka aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kama kiongozi mwenye msimamo na Role Model wa wanasiasa wengi nchini.

Picha aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa na Joh Makini

Zaidi msikilize hapa Joh Makini akifunguka kifo cha Edward Lowassa.