Jumanne , 22nd Dec , 2015

Msani wa muziki Jimmy Gait kutoka Kenya amekuwa na kipindi kigumu kukabiliana na madongo ya mashabiki kufuatia hatua yake ya kufanya toleo lake la rekodi kubwa ya Hello kutoka kwa msanii wa kimataifa Adele.

Jimmy Gait

Jimmy Gait ambaye anakuwa msanii wa pili kufanya toleo la rekodi hiyo akimfuata Dela ametoa kazi hiyo kuvunja ukimya wake wa muda, ikionekana wazi kuwa vionjo vyake havijaeleweka hata kidogo ukilinganisha na hadhi na uwezo wake kama unavyoweza kusikia hapa;