Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sana na michezo, ambayo imetolewa rasmi May 2, mwaka huu.
Kwenye uteuzi huo wajumbe wengine watano wameteuliwa na kufanya idadi ya kuwa wajumbe sita, na imeelezwa kwamba uteuzi huo umefayika April 18 mwaka huu.







